Header Ads

Intro AD

POVU LA MLELA KWA NAY WA MITEGO

  • POVU LA MLELA KWA NAY... BY@mlelandro .
    @naytrueboy Mimi nimelelewa vizuri na familia yangu ndio maana mambo ya matusi cjazoea ingawa Nina uwezo mkubwa niliopewa na Mungu baba wa kupambana na matamshi hayo,..kikubwa acha UwOGA ...kama shida yako ni pesa huyu aliyepoteza marinda si ndio itakuwa rahisi tu?kwangu Mimi PESA SiO KILA KITU MUNGU NDIO KILA KITU...Nikuchape au NiKuchape (uwezi) PESA ZOTE UTACHUKUA WEWE MIMI SIITAJI ATA SHILINGI MIA...@naytrueboy APA RINDA LIPO tena LA ZIGIZAGA uliza vizuri sio Kwa niliowatumia kama dustbin kupitisha siku....sitobishana na wewe tena coz akili yako ya kutaka sifa ni fupi.. eti unakataa movie wakati wewe mwenyewe unafanya movie au ujui kama izo video zako ni movie na TAIFA likiwa na utaratibu mzuri wa kazi za wasanii pia utafaidika...Acha maneno NJOO kwenye stage ili tuheshimiane...samahani Kwa mashabiki zangu ninaowakwaza Kwa hili. ☺#LINDALIPO TENA LA ZIGZAG HAHAHA HAHAHA - .

Hakuna maoni